My Airtel Africa App | TZ
- Home
- Binafsi
- Malipo ya Kabla (Prepaid)
- > Huduma za Intaneti
ORODHA YA VIPENGELE :
- App ya Airtel Money na Self-care zimeunganishwa kuwa app moja rahisi kupakua, ya kizazi kipya ambayo haitumii nafasi kubwa kwenye kifaa chako.
- Muonekano mpya wa kuvutia na ufanisi wa urambazaji (user experience & interface) ulioboreshwa kupunguza hatua unazohitaji kufuata ili kupata bidhaa na huduma.
- Uboreshaji wa huduma kwa mteja kupitia chaguo za kujihudumia (self-service), msaada wa saa 24/7, na sehemu ya kukutafuta duka la Airtel lililo karibu ukitumia mahali ulipo.
- Uwazi katika matumizi na malipo kupitia historia ya akaunti kwa undani kwenye sehemu zote za self-care na Airtel Money.
- Uwezo wa kushiriki app kwa urahisi na marafiki na familia.
- Tuma pesa moja kwa moja kutoka kwenye Kitabu chako cha Simu (Phonebook), na uhakikishe unatuma kwa mtu sahihi.
- Malipo kwa kutumia QR code yamerahisishwa.
- Tuma pesa kutoka kwenye akaunti yako ya Airtel Money kwenda kwenye akaunti yako ya benki bila kutoka kwenye app.
- Nunua vifurushi vya dakika, SMS na data na ulipe kwa kutumia kadi yako ya benki (credit/debit card) kupitia njia salama ya malipo.
- Lipa bili zako zote kama vile LUKU, Solar, TV za kulipia na zingine kupitia kiolesura rahisi kutumia.
- App ya My Airtel inapatikana kwa sasa kwenye Android (OS) na Apple (iOS).
- Bonyeza viungo hapa chini: