Skip to main content

Careers | TZ

Jiunge na Timu ya ushindi...

Airtel ni kampuni yenye mwendokasi inayotoa fursa bora za kazi kwa watu wenye vipaji na walio na motisha. Kwa sasa, idara na taaluma zinazopatikana ni pamoja na, lakini hazijabainishwa tu kwa hizi:

  • Huduma kwa Wateja
  • Utawala
  • Masoko
  • Mitandao
  • Sheria na Udhibiti
  • Idara ya Fedha
  • Biashara kwa Makampuni
  • Mauzo na Usambazaji

Siku yako ya kwanza, utashiriki katika programu ya “Welcome to Airtel” kwa ajili ya utambulisho kwa wafanyakazi wapya.

Kisha ufuatiliaji utafanywa ndani ya miezi 3 tangu tarehe ya kuanza kazi ili kuhakikisha umeanza kazi kwa ufanisi na kwa mwendelezo mzuri.

Hata hivyo:

  • HR Business Partner wako
  • Meneja wa Idara (Line Manager)

…ndiyo wanaohusika kuhakikisha unazoea mazingira vizuri na kupata usaidizi muhimu katika kipindi chote cha on boarding.