Skip to main content

Vision & Mission | TZ

  • Home 
  • Kuhusu Sisi
  • Dira na Dhamira
IRA NA MAADILI (VISION & VALUES)

Kuboresha maisha ya wateja wetu. Lengo letu ni kushinda wateja kwa maisha yote kupitia utoaji wa huduma bora na uzoefu wa kipekee. Sisi ni:

Hai (Alive)

Hai (Alive)

Tunatekeleza majukumu yetu kwa ari, shauku na mtazamo chanya wa “naweza kufanya.” Ubunifu na roho ya ujasiriamali ndizo zinazoongoza safari yetu.
Jumuishi (Inclusive)

Jumuishi (Inclusive)

Tunathamini na kuendeleza utofauti. Tunatambua, tunajiandaa, na tunatoa suluhisho zinazoboresha maisha ya jamii tunazozihudumia.
Waheshimifu (Respectful)

Waheshimifu (Respectful)

Tunashiriki furaha na changamoto za wateja wetu. Tunatenda kwa unyenyekevu na daima tunakuwa wa wazi na wa kweli.

DHAMIRA (MISSION)

 

Katika Airtel, tunatoa teknolojia na huduma zinazotambuliwa na kuaminiwa duniani kote ili kuiwezesha Tanzania kupata njia rahisi na ya kuaminika ya kuunganishwa na dunia. Tunawaletea watu wote kila kitu kinachohusiana na mtandao.