Skip to main content

Viwango vya Bei vya Ndani ya nchi | TZ

Viwango vya Bei vya Ndani ya nchi

  • Home 
  • Binafsi
  • Malipo ya Kabla (Prepaid)
  • Vifurushi vya Sauti & SMS (Voice & SMS Bundles)
  • Viwango vya Bei vya Ndani ya nchi

Yatosha Janja Lao

Yatosha Janja Lao – Mitandao yote

MUDA BEI (TSH) MITANDAO YOTE (DAK) SMS Data (MB)
SAA 24 500 30 25  
SAA 48 1,000 150 25  
SIKU 7 1,500 150 50  
SIKU 7 2,500 300 50  
SIKU 30 5,000 400 100  
SIKU 30 10,000 1,200 100  
BILA KIKOMO 1,000 30 50 10

Yatosha Janja Lao – Airtel – Airtel

MUDA BEI (TSH) NDANI YA MTANDAO (DAK) MITANDAO YOTE (DK) SMS
SAA 24 500 90 10 25
SAA 48 1,000 260 40 25
SIKU 7 1,500 260 40 50
SIKU 30 5,000 1,000 250 100

Yatosha Janja Lao – Combo

MUDA BEI (TSH) MITANDAO YOTE (DAK) SMS Data (MB)
MASAA 24 1,000 50 10 400
SIKU 7 2,000 60 15 750
SIKU 30 10,000 500 15 4,096
SIKU 30 20,000 675 15 9,216

Terms and Conditions

Hiki ni kifurushi ambacho mteja anaweza kununua na kutumia kupiga simu za ndani, kutuma SMS za ndani na/au kutumia intaneti. Bei, Mafao na Muda wa Uhalali vinaonyeshwa kwenye menyu au jedwali hapo juu kabla ya kununua kifurushi.

  • Vifurushi vitapatikana kwa wateja wa malipo ya awali (prepaid) pekee.
  • Bei zote ni pamoja na kodi.
  • Vifurushi vinaweza kununuliwa kwa kutumia Airtime au Airtel Money.
  • Baada ya kununuliwa, matumizi yanaweza kufanyika popote ndani ya Tanzania.
  • Pale ambapo mafao ya kifurushi yanaisha au muda wa kifurushi kuisha, masharti yafuatayo yatatumika:
    • Iwapo muda wa maongezi (Voice) utaisha au kifurushi kuisha, utozaji wa kawaida wa Shilingi 0.5 kwa sekunde (pamoja na kodi) utatumika kwa simu zote za ndani—mtandao mmoja au tofauti.
    • Iwapo SMS zitaisha au kifurushi kuisha, utozaji wa kawaida wa Shilingi 8 kwa SMS (pamoja na kodi) utatumika kwa SMS zote za ndani—mtandao mmoja au tofauti.
    • Iwapo MB za data zitaisha au kifurushi kuisha, mteja anatakiwa kuchagua kati ya kutumia utozaji wa kawaida au kununua kifurushi kipya cha data. Utozaji wa kawaida ni Shilingi 9.35 kwa MB (pamoja na kodi).
  • Kujua salio, mteja atapiga 14999# kisha achague “Salio”.
  • Airtel Tanzania PLC inahifadhi haki ya kurekebisha, kubadilisha masharti haya, au kufuta kifurushi wakati wowote. Katika tukio lolote kati ya haya, taarifa itakuwa halali mara moja au kama ilivyoainishwa kwenye taarifa husika.