Skip to main content

Data Bundles | TZ

Virushi vya intaneti

  • Home 
  • Binafsi
  • Malipo ya Kabla (Prepaid)
  • Huduma za Intaneti

Vifurushi vya intaneti

Muda Bei (TSh) Data (MBs)
Masaa 24 500 246
Masaa 24 1,000 492
Siku 3 2,000 985
Siku 7 2,000 950
Siku 7 2,100 1,024
Siku 7 3,000 1,480
Siku 7 5,000 2,460
Siku 30 10,000 4,920
Siku 30 20,000 9,850
Siku 30 30,000 14,780
Siku 60 50,000 24,600
Siku 60 100,000 49,200

Vigezo na Masharti

Vifurushi vitapatikana kupitia menyu ya bidhaa 14999#, sehemu ndogo ya “Internet”. Hii ni bidhaa/kifurushi ambacho wateja wanaweza kununua ili kutumia intaneti.

Masharti Mengine kwa Wateja wa Malipo ya Awali (Prepaid)

  • Bei zote zinajumuisha kodi.
  • Vifurushi vinaweza kununuliwa kwa kutumia muda wa maongezi au Airtel Money.
  • Mara vifurushi vinaponunuliwa, matumizi yanaweza kufanyika popote ndani ya Tanzania.
  • Pale muda wa matumizi ya data unapokwisha, mteja anatakiwa kuchagua kati ya kutumia malipo ya kawaida au kununua kifurushi kipya cha data. Malipo ya kawaida ni Shilingi 9.35 kwa MB (ikiwa ni pamoja na kodi).
  • Ili kujua salio, mteja atapiga *149*99# kisha achague “Balance”.
  • Airtel Tanzania PLC inahifadhi haki ya kubadili au kurekebisha vigezo na masharti haya au kusitisha bidhaa hii wakati wowote. Katika tukio lolote kati ya haya, taarifa itakuwa rasmi mara moja au kufikia tarehe itakayotajwa kwenye taarifa husika.