Pata 5G | TZ
- Home
- Binafsi
- Pata 5G
Ishi maisha ya kesho na Rauta ya Airtel 5G:
Sifa za Router ya Airtel 5G:
Gundua Aina ya Simu Zinazooana na Airtel 5G:
- Unganisha router yako na umeme.
- Tafuta jina la Wi-Fi la router (Jina la Wi-Fi lipo chini ya router).
- Ingiza nenosiri (Network SSID pia lipo chini ya router).
- Bofya Connect ili kuunganisha.
- Unganisha router kwenye mtandao.
- Unganisha kifaa chako (simu au kompyuta) kwenye Wi-Fi ya router.
- Fungua kivinjari (browser) kisha andika 192.168.1.1 kwenye sehemu ya anwani (URL bar).
- Ukurasa wa kuingia utaonekana — ingiza maelezo yafuatayo:
- Username: admin
- Password: admin
- Kwenye menyu ya kushoto, chagua Wi-Fi Setting kisha uchague 2.4G Wi-Fi.
- Nenda kwenye kisanduku cha SSID na ubadilishe jina la Router kutoka Airtel_X28_XXXX kwenda jina unalopendelea.
- Bonyeza Save.
- Kwenye menyu ya kushoto, tena chagua Wi-Fi Setting kisha uchague 5G Wi-Fi Setting.
- Nenda kwenye kisanduku cha SSID na ubadilishe jina la Router kutoka Airtel_X28_XXXX kwenda jina unalopendelea.
- Bonyeza Save.
- Kumbuka jina jipya: utalihitaji kuunganishia kifaa chako tena.
- Unganisha router kwenye mtandao.
- Unganisha kifaa chako (simu au kompyuta) kwenye Wi Fi ya router.
- Fungua kivinjari (browser) kisha andika 192.168.1.1 kwenye sehemu ya anwani (URL bar).
- Ukurasa wa kuingia utaonekana — ingiza maelezo yafuatayo:
- Username: admin
- Password: admin
- Katika menyu ya upande wa kushoto, chagua Wi Fi Setting kisha uchague 2.4G Wi Fi.
- Nenda kwenye kisanduku cha WiFi Password na uandike nenosiri unalolitaka.
- Bonyeza Save.
- Rudia hatua hizo kwa kuchagua Wi Fi Setting → 5G Wi Fi Setting.
- Ingiza nenosiri unalotaka kwenye kisanduku cha WiFi Password.
- Bonyeza Save.
- Kumbuka nenosiri jipya: utalihitaji kuunganisha kifaa chako tena.
- Washa router.
- Tafuta tundu la Reset sehemu ya nyuma ya router, chini kidogo ya nyaya za umeme.
- Tumia kipini kidogo (clip), bonyeza na ushikilie mpaka router ifanye Reset.
- Baada ya Reset, username na password zitarudi kwenye mpangilio wa kiwandani (default).
- Jina la kuanzia: admin
- Neno siri ya kuanzia: admin
- Tumia username na password za default kuingia na kisha uzibadilishe.
- Piga *149*99# kutoka kwenye laini yako ya Airtel.
- Chagua 7: HBB/Router/MiFi
- Chagua 2: 5G Unlimited
- Chagua RENEWAL
- Ingiza namba ya akaunti uliyopewa wakati wa kuanzisha huduma.
- Chagua mpango unaotaka.
- Ingiza PIN yako ya Airtel Money kukamilisha malipo.
- Mpango wako utaanzishwa mara moja.
- Piga *149*99# kutoka kwenye laini yako ya Airtel.
- Chagua 7: HBB/Router/MiFi
- Chagua 2: 5G Unlimited
- Chagua ADVANCE
- Ingiza namba ya akaunti uliyopewa wakati wa kuanzisha huduma.
- Chagua mpango unaotaka.
- Ingiza PIN yako ya Airtel Money kukamilisha malipo.
- Mpango wako utajirenew kiotomatiki.
- Ikiwa umechagua mpango tofauti, utabadilishwa baada ya mpango wa sasa kuisha
Bofya My Account na ingiza namba yako ya Mpesa au Tigo Pesa kisha fuata maelekezo yatakayoonekana kwenye skrini.
- Piga *149*99# kutoka kwenye laini yako ya Airtel.
- Chagua 7: HBB/Router/MiFi
- Chagua 2: 5G Unlimited
- Chagua ADVANCE
- Ingiza namba ya akaunti uliyopewa wakati wa kuanzisha huduma.
- Chagua mpango unaotaka.
- Ingiza PIN yako ya Airtel Money kukamilisha malipo.
- Mpango wako utajirenew kiotomatiki.
- Ikiwa umechagua mpango tofauti, utaanza kutumika baada ya mpango wa sasa kuisha
Unaweza kununua vifurushi kupitia USSD kwa kupiga *149*99#, kisha kuchagua chaguo la 7 na kuingiza namba ya kifaa chako. Vinginevyo, tumia App ya MyAirtel au tembelea
Haitanishwa. Tafadhali tumia laini tofauti ya Airtel kununua vifurushi vya kifaa chako bila kutoa SIM kutoka kwenye kifaa chako.
Piga *149*99#, chagua 7, kisha 4, na weka namba ya kifaa chako ili kuona salio.
- Unganisha kifaa chako kwenye mtandao.
- Fungua kivinjari na andika 192.168.1.1.
- Ingia kwa kutumia jina la mtumiaji na nenosiri lililoandikwa chini ya kifaa (mara nyingi ni admin/admin).
- Nenda WiFi Settings, badilisha jina (SSID) na nenosiri unalotaka, kisha bonyeza Save.
- Angalia chini ya kifaa sehemu iliyoandikwa Reset au Restore Factory.
- Fuata maelekezo kwenye kitabu cha maelekezo (manual) kama yanapatikana.
- Baada ya kufanya reset, tumia nenosiri la msingi (default) lililoandikwa chini ya kifaa (WIFI KEY).
- Kwa MiFi ya 4G, fungua kifaa na ubofye sehemu ya RESET kwa kutumia pini ndogo.
- Subiri kifaa kianze upya (reboot).
- Tumia nenosiri la msingi lililoandikwa chini ya router/MiFi.
5G ni teknolojia ya kizazi cha tano inayotoa kasi kubwa ya data, latency ya chini sana, uwezo mkubwa wa mtandao, na matumizi bora kwa watumiaji wengi kwa wakati mmoja. 5G ni hadi mara 100 haraka kuliko 4G.
- Uwezo mkubwa wa kuhudumia watumiaji wengi kwa wakati mmoja.
- Kasi kubwa ya kupakua na kupakia data kwa vifaa vingi.
- Ultra-low latency kwa maudhui mazito na programu za biashara.
- Utendaji bora kwa teknolojia za Internet of Things (IoT).
Laini za Airtel 4G (SIM za kawaida na e-SIM) hubadilishwa kiotomatiki kuwa 5G. Hata hivyo, kifaa chako lazima kiwe kinachokubali 5G.
Kwa iPhone:
- Fungua Settings.
- Nenda Cellular/Mobile Data.
- Bonyeza Cellular/Mobile Data Options. • Chagua Voice & Data. • Ukiona chaguo la 5G, basi simu yako inaunga mkono 5G.
Kwa iPhone (iOS):
- Settings → Mobile Data → Mobile Data Options → Voice & Data → 5G Auto
Kwa Android:
- Settings → Connections → Mobile Networks → Network Mode → Chagua 5G/4G/3G (auto connect)
Hapana. 5G haitabadilisha 4G mara moja; zitatumika kwa pamoja ili kuboresha utendaji wa mtandao.
Ndiyo. Ukiondoka eneo lenye 5G, kifaa chako kitapungua hadi 4G au 3G kulingana na upatikanaji wa mtandao.
Sio vifaa vyote. Vifaa vinavyounga mkono 5G vinapatikana katika maduka ya Airtel. Tembelea duka lililo karibu kwa maelezo zaidi.
Hapana, kwa sasa 5G itapatikana kwenye maeneo maalum tu.
Kwa sasa hakuna kifurushi maalum cha 5G. Vifurushi vyote vya sasa vinafanya kazi.
Matumizi yanategemea na unachofanya mtandaoni.
Piga *149*99#, chagua 7, kisha 4, na ingiza namba ya kifaa chako ili kuona salio