Skip to main content

SMS | TZ

Airtel SMS

  • Home 
  • Binafsi
  • Malipo ya Kabla (Prepaid)
  • Vifurushi vya Sauti & SMS (Voice & SMS Bundles)
  • SMS

SMS

Endelea kuwasiliana kwa kutumia vifurushi vipya na nafuu vya SMS kutoka Airtel. Piga 14999# kisha chagua SMS kujiunga

Muda Bei (TSH) SMS
MASAA 24 200 200
SIKU 7 500 1,000
SIKU 15 1,000 5,000

Vigezo na mashariti:

Vifurushi vitapatikana kupitia menyu ya bidhaa *149*99#, sehemu ndogo “SMS”. Hiki ni kifurushi ambacho wateja wanaweza kununua ili kutuma SMS za ndani. Bei, faida na muda wa matumizi vimeainishwa kwenye menyu au jedwali hapo juu kabla ya kununua kifurushi.

Vigezo vigine:

  • Vifurushi vitapatikana kwa wateja wa malipo ya awali (prepaid) pekee.
  • Bei, faida na muda wa matumizi vimeainishwa kwenye menyu au jedwali hapo juu kabla ya kununua kifurushi.
  • Bei zote zinajumuisha kodi.
  • Vifurushi vinaweza kununuliwa kwa kutumia Airtime au Airtel Money.
  • Baada ya kununua kifurushi, kinaweza kutumika popote ndani ya Tanzania.
  • Pindi faida za SMS zinapoisha au kumalizika, utozaji wa kawaida wa Shilingi 8 kwa kila SMS (pamoja na kodi) utatumika.
  • Ili kujua baki, mteja atapiga 14999# kisha kuchagua “Balance”.
  • Airtel Tanzania PLC inahifadhi haki ya kubadili au kurekebisha masharti haya, au kusitisha huduma wakati wowote. Katika tukio lolote kati ya haya, taarifa itaanza kutumika mara moja au kufikia tarehe itakayotajwa kwenye taarifa hizo.